Nenda kwa yaliyomo

Sara Estela Ramírez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sara Estela Ramírez (1881 – 21 Agosti 1910) alikuwa mwalimu, mwanahabari, mratibu wa vyama vya wafanyakazi, mwanaharakati wa haki za wanawake, mwandishi wa insha na mshairi wa Meksiko aliyeishi katika jimbo la Texas, Marekani. Alianzisha majarida mawili ya kila siku ya fasihi, La Corregidora na Aurora. Anachukuliwa kuwa mmoja wa watu muhimu waliounga mkono Partido Liberal Mexicano (Chama cha Kiliberali cha Mexiko), na pia kama mtangulizi wa mwanzo wa harakati za kisasa za ufeministi wa Chicana.[1]

  1. ↑ Hernandez, Ines (Spring 1989). "Sara Estela Ramirez: Sembradora". Western Women Writers. 6 (6). University of Nebraska Press: 13–26. JSTOR 25679047.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sara Estela Ramírez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.