Sara Diamond
Mandhari

Sara Maxine Diamond (amezaliwa 5 Januari, 1995) ni mwimbaji kutoka Kanada mwenyeji wa Montreal, Quebec. Anajulikana zaidi kwa kuimba Wimbo wa Taifa wa Marekani kwa Montreal Canadiens wakati wa Michezo ya Mchujo ya NHL ya mwaka 2013 - 2014 na 2014 - 2015.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The World's Best Photos of concert and futureelectronics - Flickr Hive Mind". flickrhivemind.net. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-19. Iliwekwa mnamo 2025-01-15.
- ↑ "Clique Girlz lineup, biography". Last.fm.
- ↑ "Une présentation d'avant-match impressionnante - Le Forum Hockey". leforumhockey.com. 21 Aprili 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-24. Iliwekwa mnamo 2025-01-15.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sara Diamond kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |