Nenda kwa yaliyomo

Sara Blakely

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sara Blakely (Alizaliwa 27 Februari, 1971) ni mfanyabiashara na mfadhili nchini Marekani.[1] Alianzisha kampuni ya Spanx, inayozalisha nguo za ndani na leggings.[2] Mnamo 2024, alianzisha chapa ya viatu ya Sneex.[3] Aliorodheshwa katika orodha ya Time 100 ya watu 100 wenye ushawishi mkubwa duniani mwaka 2012.[4]

  1. "Sara Blakely". Forbes. Iliwekwa mnamo 2026-04-14.
  2. "Sara Blakely". Bloomberg. Iliwekwa mnamo 2026-04-14.
  3. "Spanx founder Sara Blakely on launch of Sneex: Want to provide 'luxury comfort' for women". CNBC. Desemba 12, 2024. Iliwekwa mnamo 2026-04-14.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "The 100 Most Influential People in the World". Time. Aprili 18, 2012. Iliwekwa mnamo 2026-04-14.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)[dead link]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sara Blakely kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.