Sara Bareilles

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bareilles performing at the Troubadour in West Hollywood, California in October 2015

Sara Beth Bareilles; (alizaliwa Desemba 7, 1979)[1] ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji, mwandishi, na mtayarishaji wa muziki wa Marekani. Bareilles alitoa albamu yake ya kwanza inayoitwa Careful Confessions mnamo mwaka 2004.

Alipata kutambuliwa zaidi kwa kutolewa kwa albamu yake ya pili ya studio inayoitwa Little Voice mnamo mwaka 2007, albamu hiyo ilijumuisha nyimbo pendwa kama vile Love Song, ambayo ilifika nambari nne kwenye Billboard Hot 100 na kupata uteuzi wake mara mbili wa kwenye tuzo ya Grammy.[2] Mnamo mwaka 2010, alitoa albamu yake ya tatu ya studio iliyojulikana kama Kaleidoscope Heart, ikiwa na wimbo wake pendwa wa "King of Anything" na kumfanya kupata tuzo ya Grammy kama msanii bora wa kike wa sauti.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Lymangrover, Jason (2007). [[[:Kigezo:AllMusic]] Sara Bareilles].
  2. Kigezo:Cite magazine
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sara Bareilles kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.