Santiago María Ramírez Ruíz de Dulanto
Mandhari
Santiago María Ramírez Ruíz de Dulanto, O.P. (Samiano, Burgos, 25 Julai 1891 – Salamanca, 18 Desemba 1967) alikuwa mtawa wa Kidominiko, kasisi, profesa wa falsafa na teolojia, na mmoja wa wafuasi mashuhuri wa Thoma wa Akwino katika karne ya 20.
Alishiriki katika Mtaguso wa pili wa Vatikani kama peritus (mshauri wa kitaalamu).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Camacho, Luis (1968). "In Memoriam (Review)". The Thomist. 32 (4): 576. doi:10.1353/tho.1968.0013.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |