Nenda kwa yaliyomo

Santander, Hispania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Santander ni mji wa Hispania, mji mkuu wa Cantabria.

Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 172,539 [1] na kuufanya wa thelathini na saba nchini kwa wingi wa watu.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Cifras oficiales de población resultantes de la revisión del Padrón municipal a 1 de enero. Detalle municipal". INE.
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Santander, Hispania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.