Santa Anzo
Mandhari
Santa Anzo ni mwanamitindo na mfanyabiashara, ambaye ni mwanzilishi, mbunifu wa mitindo na mkurugenzi mkuu wa Arapapa Fashion House, iliyoko Kampala, Uganda.[1] Pia ni mwanzilishi na Rais wa Uganda International Fashion Week, maonyesho ya kila mwaka ya mitindo.[2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Nantaba, Agnes (7 Juni 2017). "Profile: Santa Anzo on fashion and heart matters". The Independent (Uganda). Kampala. Iliwekwa mnamo 18 Desemba 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Soft Power Reporter (30 Septemba 2018). "Santa Anzo Represents Uganda At Africa Fashion Exchange 2018 In South Africa". Kampala: Soft Power Uganda. Iliwekwa mnamo 18 Desemba 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Baranga, Samson (19 Oktoba 2016). "Santa Anzo pushes fashion economics". The Observer (Uganda). Kampala. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-15. Iliwekwa mnamo 18 Desemba 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)