Nenda kwa yaliyomo

Sanje ya Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sanje ya Kati ni kisiwa kimojawapo cha funguvisiwa la Kilwa, mkoa wa Lindi, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi. Ni maarufu kwa upatikanaji wa magofu makubwa ya kiakiolojia yanayojumuisha ngome ya kibiashara na msikiti.[1]

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Kisiwa hicho, ambacho kiko katika kata ya Pande Mikoma, ni eneo la kihistoria ambalo halijachimbuliwa kikamilifu.[2]

Eneo hilo hawaishi tena watu lakini lilikuwa nyumbani kwa Waswahili karne za kati.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://www.researchgate.net/figure/Map-of-the-Sanje-ya-Kati-medieval-stonetown-site-Kilwa-Bay-Tanzania-after-Stephane_fig6_254952363
  2. Allen, James De Vere (1974). "Swahili Architecture in the Later Middle Ages". African Arts. 7 (2): 42–84. doi:10.2307/3334723. ISSN 0001-9933.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Lindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sanje ya Kati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.