Sanjay Leela Bhansali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanjay Leela Bhansali

Amezaliwa 24 Februari 1963 (1963-02-24) (umri 61)
Kazi yake Mwongozaji wa filamu
Tovuti rasmi

Sanjay Leela Bhansali (Devanagari: संजय लीला भंसाली) ni mwongozaji wa filamu kutoka nchini India. Ni mhitimu wa Taasisi ya Filamu na Televisheni ya India.[1] Bhansali amechukua jina la kati la "Leela" ukiwa kama ukumbusho kwa mama'ke, Leela Bhansali.

Filmografia[hariri | hariri chanzo]

Mwongozaji[hariri | hariri chanzo]

 • Khamoshi: The Musical (1996)
 • Hum Dil De Chuke Sanam (1999)
 • Devdas (2002)
 • Black (2005)
 • Saawariya (2007)
 • Guzaarish (2010)

Mtayarishaji[hariri | hariri chanzo]

 • Hum Dil De Chuke Sanam (1999)
 • Black (2005)
 • Saawariya (2007)
 • Guzaarish (2010)

Mtunzi[hariri | hariri chanzo]

 • 1942: A Love Story (1994)
 • Khamoshi: The Musical (1996)
 • Guzaarish (2010)

Uongozaji wa Muziki[hariri | hariri chanzo]

 • Guzaarish (2010)

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. Verma, Sukanya (6 Novemba 2007). "OSO-Saawariya rivalry: May the best director win". Rediff. Iliwekwa mnamo 2008-03-14. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sanjay Leela Bhansali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.