Nenda kwa yaliyomo

Sandy Posey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sandra Lou Posey (amezaliwa 18 Juni, 1944 – amefariki 20 Julai, 2024) alikuwa mwimbaji maarufu kutoka Marekani ambaye alifurahia mafanikio katika miaka ya 1960 kwa vibao kama vile rekodi yake ya mwaka 1966 ya compositions za Martha Sharp "Born a Woman" na "Single Girl".[1][2][3][4][5]

  1. Michael D'Arcy Countrypolitan www.countrypolitan.com Archived Februari 3, 2007, at the Wayback Machine
  2. Posey’s birth name has sometimes been cited mistakenly as Martha Sharp because Sharp wrote some of her early recordings: see, for example, Hugh Gregory (1993), Who's Who In Country Music.
  3. Some sources give 1947, but 1944 is more consistent with her having graduated from high school in 1962 and Posey herself has referred to her age as 21 at the time that "Born a Woman" was made in 1966: see sleeve notes for Sandy Posey's CD A Single Girl: The Very Best of the MGM Recordings (2002), which contains an extensive interview with Posey about her early career.
  4. Sharp made her own recordings of "Born a Woman" and "Single Girl" in 1973 for a Monument album (KZ 32234).
  5. Sleeve notes for A Single Girl CD (2002)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sandy Posey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.