Sandra Faber
Mandhari
Sandra Moore Faber (alizaliwa Desemba 28, 1944) ni mwanaastrofizikia nchini Marekani anayejulikana kwa utafiti wake juu ya mabadiliko ya Majarra. Yeye ni Profesa wa Chuo Kikuu cha Astronomia na Astrofizikia katika Chuo Kikuu cha California, Santa Cruz, na anafanya kazi katika Lick Observatory. Anajulikana zaidi kwa uhusiano wa Faber-Jackson.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Sandra Moore Faber". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-29. Iliwekwa mnamo 2018-10-03.
- ↑ "Sandra Faber Receives $500,000 Gruber Cosmology Prize | American Astronomical Society". aas.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2017-07-08.
| Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sandra Faber kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |