Nenda kwa yaliyomo

San Francisco de Campeche, Campeche

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Jiji la San Francisco de Campeche
Nchi Mexiko
Jimbo Campeche
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 211,671
Tovuti:  San Francisco de Campeche
Mji wa San Francisco de Campeche, Campeche

San Francisco de Campeche ndiyo mji mkuu katika jimbo la Campeche. Ni mji mkubwa wa Campeche ukiwa wakazi 211,671. Mji ulianzishwa na Wahispania mwaka 1540.


Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu San Francisco de Campeche, Campeche kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.