Samuel Erickson Abakah
Mandhari
Samuel Erickson Abakah (amezaliwa 10 Oktoba 1959) ni mwanasiasa wa Ghana na mwanachama wa chama cha New Patriotic Party.[1]
Aliwahi kuwa Mbunge wa eneo bunge la Shama katika Mkoa wa Magharibi wa Ghana kuanzia 7 Januari 2021 hadi 6 Januari 2025.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Daily Statesman (2021-08-23). "Shama MP expresses readiness to work with DCE". The Daily Statesman Newspaper (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2026-05-29.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Samuel Erickson Abakah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |