Nenda kwa yaliyomo

Samuel Chukwueze

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Mchezaji Samuel Chukwueze akiichezea timu ya villareal

Samuel Chukwueze (alizaliwa Umuahia, Nigeria, 22 Mei 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Hispania katika klabu ya Villareal kwenye ligi La Liga.

Mchezaji huyu ana urefu wa mita 1.72 na ana uzito wa kilo 70.

Maisha ya awali na Elimu[hariri | hariri chanzo]

Chukwueze alizaliwa Umuahia katika jimbo la Abia,anatokea katika kabila la Igbo ni mkristo na kaka wa ndugu wawili wa kike na kiume, alisoma katika chuo cha serikali cha Government College Umuahia na elimu ya upili aliipata katika shule ya Evangel Secondary School, alianza kucheza mpira wa miguu akiwa na umri wa miaka 8 na alivutiwa zaidi na mcheza Jay-Jay Okocha na kuwa chanzo cha maendeleo katika mchezo wake wa mpira wa miguu,alikulia katika mikono ya Victor Apugo alomchukulia kama baba yake katika tasnia ya michezo .[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Samuel Chukwueze Biography (Exclusive Interview)", Diamond Football Academy Official Website, 2016-09-03. (en) 
  2. Naijagood TV (2016-09-14), Samuel Chukwueze Interview, iliwekwa mnamo 2018-11-07
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samuel Chukwueze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.