Nenda kwa yaliyomo

Samsung Galaxy M34 5G

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Samsung Galaxy M34 ni simu ya kiwango cha kati kutoka mfululizo wa Galaxy M Series iliyotolewa Julai 2023. Simu ya Galaxy M34 5G ilizinduliwa tarehe 7 Julai 2023, ikiwa na skrini ya mguso yenye ukubwa wa inchi 6.50, kiwango cha refresh rate cha 120 Hz, na mwonekano wa FHD+ (1080x2400 pixels).

Inatumia processor ya octa-core, Exynos 1280 iliyotengenezwa kwa teknolojia ya 5nm, pamoja na chaguo la RAM ya 6GB au 8GB. Simu hii inaendeshwa na Android 13 na inakuja na betri ya 6000mAh isiyoweza kuondolewa, yenye msaada wa chaji ya haraka ya aina yake (proprietary fast charging)[1][2].

  1. "Samsung Galaxy M34 5G - Price in India, Specifications, Comparison (19th May 2024)". Gadgets 360 (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-05-19.
  2. "Galaxy M34 5G 6GB/128GB (Silver) - Display, Camera & Full Specs". Samsung India (kwa Indian English). Iliwekwa mnamo 2024-05-19.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.