Nenda kwa yaliyomo

Sammy Baloji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sammy Baloji

Sammy Baloji (alizaliwa Lubumbashi, 1978) ni mpiga picha kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Anafanyia kazi zake mjini Lubumbashi na Brussels na amefanya maonyesho katika miji ya Amsterdam, Paris, Brussels, Bilbao, Cape Town na Bamako.[1]

Baloji alihitimu masomo ya fasihi na sayansi ya jamii katika Chuo Kikuu cha Lubumbashi.[2][3]

Baada ya masomo yake, alianza kufanya kazi kama mchoraji wa katuni. Baadaye alibobea katika sanaa ya video na upigaji picha. Alifanya kazi zake nyingi katika mkoa wake wa Katanga. Mambo yanayojirudia katika kazi zake ni unyonyaji wa elimu ya jamii na tamaduni kikabila, usanifu wa majengo na mipango miji, kama vile unyonyaji wa binadamu na mazingira katika mandhari ya miji ya Kongo.[4][5][6][7][8]

  1. Témoin Africa, Sammy Baloji Né le 29 décembre 1978. Works and lives in Lubumbashi/Bruxelles
  2. Brakke Grond (2010) biography
  3. "Divine Comedy - Heaven, Purgatory and Hell Revisited by Contemporary African Artists - Kerber Verlag". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 22, 2014. Iliwekwa mnamo 2 Desemba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Jewsiewicki, Bogumil (2014). Hadj-Moussa, Ratiba; Nijhawan, Michael (whr.). "Denial and Challenge of Modernity: Suffering, Recognition, and Dignity in Photographs by Sammy Baloji". Suffering, Art, and Aesthetics (kwa Kiingereza). New York: Palgrave Macmillan US: 51–74. doi:10.1057/9781137426086_3. ISBN 978-1-349-49069-1. Iliwekwa mnamo 2021-11-14.
  5. Louise, Darblay (Januari 18, 2021). "Artist Sammy Baloji on Colonial Legacies, New Stories and Creating the Lubumbashi Biennale". artreview.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-11-14.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Nugent, Gabriella (2019). "Mining Time in Sammy Baloji's Mémoire". African Arts. 52 (3): 62–71. doi:10.1162/afar_a_00482. ISSN 1937-2108. S2CID 199545243.
  7. Demos, T. J. (2014). "Sammy Baloji and Alice Seeley Harris". www.artforum.com (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-11-14.
  8. Jewsiewicki, Bogumil; Roberts, Allen F. French by (2016). "Leaving Ruins: Explorations of Present Pasts by Sammy Baloji, Freddy Tsimba, and Steve Bandoma". African Arts. 49 (1): 6–25. doi:10.1162/AFAR_a_00267. ISSN 1937-2108. S2CID 57567753.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sammy Baloji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.