Samli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Chupa ya maziwa inayoonyesha samli ikielea juu yake.

Samli (kutoka neno la Kiarabu) ni mafuta yanayotokana na maziwa ya wanyama kama vile ng'ombe, ngamia au mbuzi na ambayo yanayotumiwa kupikia nyama, mboga n.k

Pia ni mafuta yanayotumika sana kama tiba asilia ya nguvu za kiume kwa wanaume, hasa yanapotumika pamoja na asali mbichi na kitunguu maji au yakichanganywa na mafuta ya nyonyo na kisha kuchua uume.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samli kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.