Nenda kwa yaliyomo

Samira Suleman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Samira Suleman (alizaliwa 16 Agosti, 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake wa kimataifa kutoka nchini Ghana anayekipiga kama mshambuliaji nchini Iceland katika klabu ya Víkingur Ólafsvík.

Suleman alijiunga na klabu ya Víkingur Ólafsvík mwaka 2015 na alicheza mechi 10 katika msimu wa mwaka 2015. [1]

  1. Michael Ofori Amanfo Boateng. "Black Queens beat Ethiopia to take lead in AWC qualifying – Black Queens". ghanafa.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Machi 2016. Iliwekwa mnamo 10 Oktoba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samira Suleman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.