Samia Moualfi
Mandhari
Samia Moualfi ni mwanasiasa wa Algeria. Hapo awali aliwahi kuwa Waziri wa Mazingira na Nishati Jadidifu kuanzia tarehe 7 Julai, 2021 hadi 16 Machi, 2023.[1][2]
Elimu
[hariri | hariri chanzo]Moualfi ana shahada ya Uzamivu wa Sheria katika Sheria ya Kimataifa na Mahusiano ya Kimataifa.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Samia Moualfi - WEFE Conference". wefe-nexus-medconf-2021.eu. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-10-14. Iliwekwa mnamo 2022-10-14.
- ↑ "President of Rebpublic appoints members of new government". Algeria Press Service. Iliwekwa mnamo 14 Oktoba 2022.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Ministry of Environment and Renewable Energy
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Samia Moualfi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |