Samia Adam
Mandhari
Samia Ahmed Mohammed Adam (kwa Kiarabu: سامية احمد محمد ادم; alizaliwa tarehe 19 Aprili 1996) ni mchezaji wa soka kutoka Misri anayekipiga kama kiungo wa kati kwa klabu ya FC Dornbirn na timu ya taifa ya wanawake ya Misri. Adam alizaliwa Palo Alto, California, na alikulia Santa Clara, California.ref name=GSK>"99 - Samia Ahmed Mohammed Adam - Orta Saha". Galatasaray S.K. (kwa Kituruki). Iliwekwa mnamo 13 Februari 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)</ref>[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Samia Adam - 2017 - Women's Soccer". University of the Pacific. Iliwekwa mnamo 4 Agosti 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "سجلت 6 أهداف..سامية آدم أول لاعبة مصرية ترتدى شارة القيادة بدوريات أوروبا". El Balad. 10 Machi 2022. Iliwekwa mnamo 17 Oktoba 2023.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Samia Adam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |