Nenda kwa yaliyomo

Sam Walton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Samuel Moore Walton (Machi 29, 1918 – Aprili 5, 1992) alikuwa mfanyabiashara mkuu nchini Marekani anayejulikana zaidi kwa kuanzisha biashara za Walmart na Sam's Club, ambazo alianza huko Rogers, Arkansas, na Midwest City, Oklahoma, mwaka 1962 na 1983 mtawalia.[1]Familia yake imesalia kuwa familia tajiri zaidi nchini Marekani kwa miaka kadhaa mfululizo, ikiwa na utajiri wa takriban dola bilioni 440.6 kufikia Januari 2025. Mwaka 1992 akiwa na umri wa miaka 74, Walton alifariki kutokana na saratani ya damu.[2][3][4]

  1. ↑ "Sam Walton Biography". 7infi.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Agosti 10, 2017. Iliwekwa mnamo Agosti 10, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ Harris, Art (Novemba 17, 1985). "America's Richest Man Lives...Here?Sam Walton, Waiting in Line At the Wal-Mart With Everybody Else". Washington Post (kwa American English). ISSN 0190-8286. Iliwekwa mnamo Machi 22, 2021.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. ↑ Walton, Sam (2012). Sam Walton: Made in America. Random House Publishing Group. uk. 4. ISBN 978-0-345-53844-4.
  4. ↑ Lee, Sally (2007). Sam Walton: Business Genius of Wal-Mart. Enslow Publishers, Inc. uk. 13. ISBN 978-0766026926. Iliwekwa mnamo Desemba 30, 2012.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sam Walton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.