Sam Johnson
Mandhari
Sam Johnson (alizaliwa 6 Mei 1993) ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya Liberia na Klabu ya Vålerenga kama mshambuliaji.
Kazi ya kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Johnson alicheza katika timu ya taifa ya Liberia chini ya miaka 23 mwaka 2011 ambayo alifunga magoli sita (6) katika mechi nane.
Mwaka 2015, alianza kucheza katika timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Liberia.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sam Johnson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |