Sam Farr

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sam Farr

Samuel Sharon Farr (amezaliwa Julai 4, 1941) ni mwanasiasa wa Marekani ambaye alikuwa mwakilishi wa California (1993-2013) pia ni mwanachama wa chama cha Democratic Party. Alichaguliwa kwenye bunge la 1993 uchaguzi maalum, kutokana na uwakilishi wa mda mrefu katika demokrasia. Leon Panetta alijiuzulu kuwa mkurugenzi wa ofisi ya usimamizi na bajeti. Novemba 12, 2015, Alitangaza kustaafu katika bunge baada ya uchaguzi wa 2016.[1]   

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Cristina Marcos (2015-11-12). Rep. Sam Farr announces retirement (en-US). The Hill. Iliwekwa mnamo 2022-08-03.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sam Farr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.