Sam Altman
Mandhari
Sam Altman (Alizaliwa 22 Aprili, 1985) ni mfanyabiashara na mjasiriamali nchini Marekani, ambaye alikuwa afisa mkuu mtendaji (CEO) wa shirika la utafiti la akili bandia (AI) la OpenAI tangu mwaka 2019.[1] Alihudhuria Chuo Kikuu cha Stanford kwa miaka miwili kabla ya kuacha na kuanzisha Loopt, ambayo baadaye iliuzwa kwa dola milioni 43.4.[2] Mwaka 2011, alijiunga na Y Combinator na alikuwa rais wa kampuni hiyo kuanzia 2014 hadi 2019.[3] Mnamo Novemba 2022, OpenAI ilizindua ChatGPT, na Altman amekuwa akichukuliwa kuwa kiongozi mkuu katika wimbi la akili bandia.[4] Mnamo Machi 2026, Forbes ilikadiria utajiri wake kuwa dola bilioni 3.3.[5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "OpenAI LP". openai.com. Archived from the original on March 11, 2019.
- ↑ Vascellaro, Jessica E. (March 9, 2012). "Startup Loopt Lands with Green Dot". The Wall Street Journal.
- ↑ "Sam Altman Fired from Y Combinator by Paul Graham". The Washington Post. Archived from the original on November 23, 2023.
- ↑ Weil, Elizabeth (September 25, 2023). "Sam Altman Is the Oppenheimer of Our Age". Intelligencer.
- ↑ "Sam Altman". Forbes.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sam Altman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |