Nenda kwa yaliyomo

Salvatore Pennacchio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Salvatore Pennacchio (alizaliwa Marano, Italia, 7 Septemba 1952) ni askofu mkuu wa Kanisa Katoliki na mwanadiplomasia wa Ukulu mtakatifu, ambaye kwa sasa ni rais wa Chuo cha Kipapa cha Kiekleziastia (Pontifical Ecclesiastical Academy).[1][2]

  1. (in it) Rinunce e Nomine, 20.09.2003 (Press release). Holy See Press Office. 20 September 2003. http://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2003/09/20/0458/01448.html. Retrieved 16 May 2019.
  2. (in en) Rinunce e nomine, 25.01.2023 (Press release). Holy See Press Office. 25 January 2023. https://press.vatican.va/content/salastampa/en/bollettino/pubblico/2023/01/25/230125f.html. Retrieved 25 January 2023.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.