Salvatore Boccaccio
Mandhari
Salvatore Boccaccio (Roma, 18 Juni 1938 – Frosinone, Italia, 18 Oktoba 2008) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki, kwanza wa jimbojina la Ulpiana kama askofu msaidizi wa Roma kutoka 29 Oktoba 1987 hadi 2 Aprili 1992.[1] Baadaye akawa askofu wa Sabina-Poggio Mirteto na hatimaye wa Frosinone-Veroli-Ferentino.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Bishop Salvatore Boccaccio.... Events Catholic Hierarchy. By David Cheney. 23 December 2023. 6 July 2024. Retrieved 6 July 2024.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |