Salomón Rondón

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Salomón Rondón

José Salomón Rondón Giménez (alizaliwa mnamo 16 Septemba 1989) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Venezuela anayecheza kama mshambuliaji kwenye timu ya Uingereza ya West Bromwich Albion ambaye kwa sasa yupo kwenye timu ya Newcastle United kwa mkopo na anachezea timu ya taifa ya Venezuela.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salomón Rondón kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.