Nenda kwa yaliyomo

Salma Amani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Salma Abdulkarim Lahcen Amani (kwa Kiarabu: سلمى عبد الكريم لحسن أماني; alizaliwa 28 Novemba 1989) ni mchezaji wa kulipwa wa soka kutoka Moroko anayekipiga kama kiungo kwa klabu ya Ligi Kuu ya Wanawake ya Moroko (D1) Wydad AC pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Moroko. Pia ana uraia wa Ufaransa.[1]

  1. "Competitions - African Women Championship, Cameroon 2016 - Match Details". CAF. Iliwekwa mnamo 20 Agosti 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salma Amani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.