Nenda kwa yaliyomo

Salima Ghezali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Salima Ghezali

Salima Ghezali Novemba 2013
Amezaliwa Salima Ghezali
Alizaliwa mnamo mwaka 1958)
nchini Algeria.
Kazi yake mwandishi wa habari na vitabu

Salima Ghezali (Alizaliwa 1958) ni mwandishi wa habari na wa vitabu.[1] Mwanachama mwanzilishi wa Wanawake huko Ulaya na Maghreb, Raisi wa chama cha maendeleo ya wanawake, na mhariri wa jarida la wanawake NYSSA, ambalo alilianzisha, na mhariri wa jarida la kila wiki la lugha ya Kifaransa La Nation, Salima Ghezali ni mwanaharakati wa haki za wanawake na haki za binadamu na demokrasia nchini Algeria.

Mnamo mwaka 1997 Ghezali alishinda Tuzo ya Sakharov [2] pamoja na Tuzo ya Olof Palme.

  1. "Ghezali's dangerous beat". Third World Network. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-03-05. Iliwekwa mnamo 2010-04-12. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  2. "Salima Ghezali 1997". 2008-12-04. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-08-26. Iliwekwa mnamo 2021-05-29. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salima Ghezali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.