Nenda kwa yaliyomo

Salesius Mugambi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Salesius Mugambi (alizaliwa 1 Januari 1951) ni askofu wa Kanisa Katoliki nchini Kenya aliyehudumu kama Askofu wa Jimbo Katoliki la Meru. Alipewa wadhifa huo na Papa Yohane Paulo II tarehe 1 Desemba 2001 akastaafu tarehe 1 Januari 2026.[1][2]

  1. Rose Achiego; Waumini Communications (17 Oktoba 2014). "Kenya: Bishop Salesius Mugambi Reaffirms Catholic Church's Position on the Sanctity of Life". Association of Member Episcopal Conferences in Eastern Africa (AMECEA). Nairobi, Kenya. Iliwekwa mnamo 28 Januari 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. SCCM (2019). "Catholic Diocese of Meru: Small Christian Communities". Small Christian Communities Ministries (SCCM). Nairobi, Kenya. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-01-28. Iliwekwa mnamo 28 Januari 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.