Saipin Chutima
Mandhari
Saipin Chutima (amezaliwa Chiang Mai, Uthai, 1954 au 1955) ni mpishi na mmiliki wa mgahawa kutoka Las Vegas, Nevada, Marekani. Yeye ni mpishi mkuu wa mgahawa wa Lotus of Siam.
Mwaka 2011, alishinda kwa pamoja tuzo ya James Beard Award ya Mpishi Bora wa Kanda ya Kusini-Magharibi (Best Chef Southwest).
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Chutima alilelewa na babu na bibi zake ambao walikuwa wakulima na wafanyabiashara. Alihamia Los Angeles mwaka 1987, kisha akahamia Las Vegas.[1]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Chutima na mume wake walifungua mgahawa wa Lotus of Siam mwaka 1999.[2] Mapishi yake yanategemea mapishi ya jadi aliyorithi kutoka kwa bibi yake.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- 1 2 Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>tag; no text was provided for refs named "PBS-2023". - 1 2 Schuster, Clayton Mory (2019-09-13). [(https://theculturetrip.com/north-america/usa/nevada/articles/lotus-of-siam-the-las-vegas-thai-restaurant-with-century-old-recipes) "Lotus Of Siam: The Las Vegas Thai Restaurant With Century-Old Recipes"]. Culture Trip (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-07-26.
{{cite web}}: Check|url=value (help)[dead link] - ↑ Durano, Genevie (12 Novemba 2020). [(https://lasvegasweekly.com/dining/2020/nov/12/lotus-of-siams-northern-thai-comfort-food-is-back/) "Lotus of Siam's Northern Thai Comfort Food is Back Where it All Began"]. Las Vegas Weekly.
{{cite web}}: Check|url=value (help)[dead link]
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Saipin Chutima kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |