Nenda kwa yaliyomo

Saidi Juma Nkumba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Said Juma Nkumba)

Saidi Juma Nkumba (amezaliwa 17 Aprili, 1962) ni mbunge wa jimbo la Sikonge katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Saidi Juma Nkumba". 25 Aprili 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saidi Juma Nkumba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.