Sahak II Mashalian
Mandhari
Sahag II Mashalian (anajulikana pia kama Sahak Mashalyan katika unukuzi wa alfabeti wa Kiarmenia Mashariki; alizaliwa Istanbul, 17 Machi 1962) alipata kuwa Patriarki wa 85 wa Kiarmenia wa Konstantinopoli mnamo mwaka 2019. [1] Ukulu wa Kiarmenia wa Constantinople ni mojawapo ya nne za Kanisa la Kitume la Armenia (nyingine tatu zikiwa Ukulu Mama wa Etchmiadzin Mtakatifu, Ukulu Mtakatifu wa Kilikia na Ukulu wa Kiarmenia wa Yerusalemu) na ina hadhi ya kujitegemwa, kwa upande mwingine, ikikubali ukuu wa kiroho juu ya Waarmenia wote katika Ukulu Mtakatifu wa Echmiadzin.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Armdiaspora (2019-12-11). "Bishop Sahak Mashalyan is the new Armenian Patriarch of Constantinople". Armdiaspora. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-23. Iliwekwa mnamo 2020-10-29.