Nenda kwa yaliyomo

Sabah Seghir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sabah Seghir (kwa Kiarabu: صباح صغير, alizaliwa tarehe 27 Septemba 2000) ni mchezaji wa kulipwa wa soka anayekipiga katika nafasi ya kiungo kwa klabu ya Ligi Kuu ya Wanawake ya Uswisi, Basel. Alizaliwa na kukulia nchini Ufaransa kwa wazazi wa asili ya Morocco, na katika timu ya taifa ya wanawake ya Morocco hutumika zaidi kama beki.[1]

Seghir amewahi kuichezea klabu za RC Saint-Denis na Saint-Maur nchini Ufaransa. Katika msimu wa 2021–22 alicheza kwa klabu ya Serie A ya Italia, UC Sampdoria, huku katika nusu ya pili ya msimu wa 2022–23 akicheza kwa mkopo katika klabu ya Serie B ya Napoli, ambako alifanikiwa kupanda daraja kwa kushinda ligi.[1] | ntupdate = 14 June 2021.[2]

  1. 1 2 "Sabah Seghir". Footofeminin.fr (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 17 Juni 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "المنتخب النسوي .. اللبؤات يؤكدن تفوقهن على مالي". SNRT News (kwa Kiarabu). 14 Juni 2021. Iliwekwa mnamo 17 Juni 2021.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sabah Seghir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.