Saa ya mchanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Saa ya mchanga ni saa ambayo hutumia mchanga au unga katika kupima muda.

Saa za mchanga ni saa ambazo zilikuwa zikitumika kwa kiwango kikubwa hapo zamani, kabla ya teknolojia ya saa ambazo zinatumia seli au betri.