Nenda kwa yaliyomo

Sérgio da Rocha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sérgio da Rocha (alizaliwa 21 Oktoba 1959) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Brazili ambaye amekuwa Kardinali tangu mwaka 2016 na Askofu Mkuu wa São Salvador da Bahia tangu 11 Machi 2020.

Amekuwa askofu tangu mwaka 2001, akianza kama Askofu Msaidizi wa Fortaleza kutoka 2001 hadi 2007, kisha Coadjutor na baadaye Askofu Mkuu wa Teresina kutoka 2007 hadi 2011, na Askofu Mkuu wa Brasília kutoka 2011 hadi 2020. Yeye ni mwanachama wa Baraza la Makardinali.[1]

  1. (in it) Rinunce e Nomine, 13.06.2001 (Press release). Holy See Press Office. 13 June 2001. https://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2001/06/13/0346/01004.html. Retrieved 11 March 2020.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.