Nenda kwa yaliyomo

Séamus Patrick Horgan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Séamus Patrick Horgan (alizaliwa 31 Agosti 1969) ni askofu mkuu wa Kanisa Katoliki kutoka Eire ambaye amehudumu kama Balozi wa Papa nchini Sudan Kusini tangu Julai 2024.[1]

  1. "Bishop Alphonsus Cullinan welcomes Pope Francis' appointment of Monsignor Séamus Horgan as new Apostolic Nuncio to South Sudan". Irish Catholic Bishops' Conference. 18 Mei 2024. Iliwekwa mnamo 18 Mei 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.