Nenda kwa yaliyomo

Sàngódáre Gbádégesin Àjàlá

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sàngódáre Gbádégesin Àjàlá (1948–2021) alikuwa msanii wa Nigeria aliyebobea katika uchoraji wa vitambaa kwa kutumia mikono.[1][2] Kazi zake zilionyeshwa katika maonyesho ya kati ya Venice Biennale ya 60 mwaka 2024.[3]

Àjàlá alikuwa kabila la Wayoruba. Hakupata elimu ya darasani na alijifunza mwenyewe. Kwa muda mrefu aliishi katika nyumba ya Susanne Wenger na alimchukulia kama mama yake mlezi.[4] Kazi yake kuu ilikuwa ukuhani wa mungu Shango. Kama hivyo, Àjàlá alikuwa na maarifa ya kina juu ya rangi za kitamaduni za Yoruba, na alizitumia kutengeneza batiki zake, wakati mwingine akitumia hadi rangi 35.

Mnamo mwaka 2014, batiki yenye urefu wa futi 25 (mita 7.6) iitwayo Oro Sise: The Initiation iliyonanywa na Àjàlá ilinunuliwa na kuonyeshwa na Shule ya Biashara ya Saïd katika Chuo Kikuu cha Oxford.[5]

  1. ↑ "Sàngódáre Gbádégesin Àjàlá. Venice Biennale 2024". universes.art (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-12-09.
  2. ↑ "Biennale Arte 2024 | Ṣàngódáre Gbádégẹsin Àjàlá". La Biennale di Venezia (kwa Kiingereza). 2024-03-06. Iliwekwa mnamo 2025-12-09.
  3. ↑ "Biennale Arte 2024 | Ṣàngódáre Gbádégẹsin Àjàlá". La Biennale di Venezia (kwa Kiingereza). 2024-03-06. Iliwekwa mnamo 2025-12-09.
  4. ↑ The white priestess of 'black magic' (kwa Kiingereza (Uingereza)), 2008-09-10, iliwekwa mnamo 2025-12-09
  5. ↑ "Nigerian artwork displayed at Oxford University's Saïd Business School". Modern Ghana (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-12-09.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sàngódáre Gbádégesin Àjàlá kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.