Ryszard Karpiński
Mandhari
Ryszard Karpiński (28 Desemba 1935 – 5 Januari 2024) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Polandi.
Alihudumu kama askofu msaidizi wa Lublin kuanzia 1985 hadi 2011. Pia alikuwa askofu wa jimbojina la Minervium hadi kifo chake.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Biskup Ryszard Karpiński". archidiecezjalubelska.pl (kwa Kipolandi). Iliwekwa mnamo 2024-02-03.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |