Nenda kwa yaliyomo

Rwandan Patriotic Front

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rwandan Patriotic Front (kifaransa: Front patriotique rwandais, FPR) ni chama tawala nchini Rwanda.[1]

RPF ilianzishwa mnamo Desemba 1987 na Watutsi wa Rwanda waliokuwa uhamishoni nchini Uganda kwa sababu ya ghasia za kikabila zilizotokea wakati wa Mapinduzi ya Wahutu Rwanda mwaka 1959-1962.[2][3] Mnamo 1990, RPF ilianzisha vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Rwanda katika jaribio la kupindua serikali, ambayo ilitawaliwa na Wahutu. Baadaye, mauaji ya halaiki ya Rwanda yalitokea ambayo yalimalizika tarehe 4 Julai kwa ushindi wa RPF wa nchi nzima. [4][5][6] Chama cha RPF kimetawala nchi tangu wakati huo kama taifa la chama kimoja, na kiongozi wake wa sasa, Paul Kagame, akawa rais wa Rwanda mwaka wa 2000, mpaka sasa.[7]

  1. https://allafrica.com/stories/201809050092.html
  2. "Rwanda - A Chronology (1867-1994) | Sciences Po Mass Violence and Resistance - Research Network". www.sciencespo.fr (kwa Kiingereza). 2016-01-25. Iliwekwa mnamo 2025-04-10.
  3. Times Reporter (2011-07-01). "Rwanda's struggle for liberation". The New Times (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-04-10.
  4. "RPF-Inkotanyi Was Driven By Ideological Clarity And Visionary Leadership - Gen. Kabarebe". KT PRESS (kwa American English). 2023-04-11. Iliwekwa mnamo 2025-04-10.
  5. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-11-15. Iliwekwa mnamo 2025-04-10.
  6. Times Reporter (2014-07-07). "RPF ideology supersedes individuals". The New Times (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-04-10.
  7. Thomson, Susan (2018-04-24). Rwanda: From Genocide to Precarious Peace (kwa Kiingereza). Yale University Press. ISBN 978-0-300-23591-3.