Ruweng (jimbo)
Ruweng State | |
Mahali pa Ruweng katika Sudan Kusini | |
![]() |
Sudan Kusini |
---|---|
Makao makuu | Panrieng[1] |
Idadi ya kaunti | 8 |
Idadi ya manispaa | |
Serikali | |
- Gavana | Mayol Kur Akuei |
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 246,360 |
Ruweng State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.
Imegawanyika katika kaunti 2 ingawa zinatarajiwa kufikia 8 hivi karibuni: Pariang County na Abiemnhom County.
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ What exactly is Riek Machar is planning to achieve. Wël Yam (1 August 2016). Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-08-21. Iliwekwa mnamo 14 August 2016.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ruweng (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |