Ruud Lubbers

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ruud Lubbers (1985)

Rudolphus Franciscus Marie "Ruud" Lubbers (7 Mei 1939 - 14 Februari 2018) alikuwa mwanasiasa nchini Uholanzi. Alikuwa Waziri Mkuu wa Uholanzi kuanzia 4 Novemba 1982 hadi 22 Agosti 1994. Kuanzia 1 Januari 2001 hadi 20 Februari 2005 alikuwa afisa kwa wakimbizi (UNHCR) chini ya Umoja wa Mataifa.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ruud Lubbers kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.