Rusubbicari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rusubbicari ulikuwa mji wa kale, mashariki mwa Bahari ya Mediteranea. Baadaye mji huu ukawa sehemu ya Dola la Roma.

Magofu yake yanapatikana eneo la Zemmouri El Bahri huko Algeria.[1] Mji huu wa Kirumi ulikuwa katika jimbo la Mauretania Caesariensis katika Dola la Roma.[2][3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Salama, Pierre. Sites commerciaux antiques sur le littoral de l’Algérois. In: Mélanges de l'École française de Rome. Antiquité, vol. 118, n°2. 2006. pp. 527-547.
  2. Pius Bonifacius Gams, Series episcoporum Ecclesiae Catholicae, (Leipzig, 1931) p. 468.
  3. Stefano Antonio Morcelli, Africa christiana, Volume I, (Brescia, 1816) p. 267.
  4. J. Mesnage, L'Afrique chrétienne, (Paris, 1912) pp. 461–462.
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rusubbicari kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.