Rungrado
Mandhari
Rungrado ni uwanja wa madhumuni mbalimbali huko Pyongyang, Korea ya Kaskazini ambao ulifunguliwa tarehe 1 Mei 1989.
Ni uwanja mkubwa ulimwenguni: unachukua eneo la hekta 20.7 (ekari 51) na una uwezo wa jumla watu takribani 114,000.
Kwa sasa hutumiwa kwa mechi za mpira wa miguu, lakini mara nyingi kwa maonyesho ya Arirang (pia inajulikana kama Michezo ya Mass).
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Rungrado kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |