Rumanatu Tahiru
Mandhari
Rumanatu Tahiru (alizaliwa 4 Juni, 1984) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kimataifa wa wanawake kutoka nchini Ghana anayekipiga kama mshambuliaji.
Ni mwanachama wa timu ya taifa ya wanawake ya Ghana. Alikuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo katika Kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 2007. Katika ngazi ya klabu, anachezea Athleta Ladies nchini Ghana.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ex-Black Queens forward Rumanatu Tahiru not convinced by level of preparations ahead of AWCON". GhanaSoccernet (kwa Kiingereza). 2018-09-26. Iliwekwa mnamo 2025-03-27.
- ↑ "List of Players" (PDF). FIFA Women's World Cup China 2007. FIFA. 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo Oktoba 14, 2012. Iliwekwa mnamo 2007-09-28.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rumanatu Tahiru kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |