Nenda kwa yaliyomo

Rugie Barry

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rugie Yatu Barry ni mwanasiasa wa Liberia. Alichaguliwa kuwa makamu mwenyekiti wa Liberty Party mwaka 2015. Alichaguliwa kuingia katika House of Representatives of Liberia mwaka 2023. Mwaka 2024, alichukua nafasi ya mwenyekiti wa Liberty Party.

Barry anatoka katika kabila la Wafura (Fula).[1][2]

  1. ↑ Teh, Lewis S. (Januari 10, 2024). "Representative-elect alleges marginalization of Fulanis". The New Dawn Liberia. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2026-03-01. Iliwekwa mnamo Oktoba 7, 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ "Brumskine-Siakor TIcket Takes Lofa". The Analyst. AllAfrica. Agosti 22, 2011. Iliwekwa mnamo Oktoba 7, 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rugie Barry kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.