Rubin Schron
Mandhari
Rubin "Rubie" Schron (Alizaliwa 1938) ni mwekezaji wa mali zisizohamishika, mfadhili, na mwanzilishi wa Cammeby's International Group huko jijini New York nchini Marekani.[1] Mwaka 2013, Schron alitoa ofa ambayo haikufanikiwa ya kununua Empire State Building kwa dola bilioni 2.[2] Kufikia 2014, utajiri wake ulikadiriwa kuwa dola bilioni 1.6.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Rubin Schron". Real Capital Analytics. Julai 2017. Iliwekwa mnamo Julai 28, 2017.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Barstow, David (2 Oktoba 2018). "Trump Engaged in Suspect Tax Schemes as He Reaped Riches From His Father". The New York Times. Iliwekwa mnamo 3 Oktoba 2018.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Karmin, Craig. "Rubin Schron Makes Long-Shot Bid for Empire State Building". WSJ (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-03-30.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rubin Schron kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |