Nenda kwa yaliyomo

Rubén Salazar Gómez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jesús Rubén Darío Salazar Gómez (alizaliwa 22 Septemba 1942) ni mchungaji wa Kanisa Katoliki kutoka Kolombia ambaye alihudumu kama Askofu Mkuu wa Bogotá kutoka 2010 hadi 2020.

Aliteuliwa kuwa Kardinali mnamo 2012. Alikuwa Askofu Mkuu wa Barranquilla kutoka 1999 hadi 2010.[1]

  1. (in it) Rinunce e Nomine, 08.07.2010 (Press release). Holy See Press Office. 8 July 2010. Archived from the original on 2011-07-28. https://web.archive.org/web/20110728140152/http://press.catholica.va/news_services/bulletin/news/25851.php?index=25851&lang=en. Retrieved 25 April 2020.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.