Rrok Mirdita
Mandhari
Rrok Kolë Mirdita (28 Septemba 1939 – 7 Desemba 2015) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Albania, aliyehudumu kama Askofu Mkuu wa Tiranë-Durrës kuanzia mwaka 1993 hadi kifo chake mwaka 2015.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |