Rowan Blanchard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Blanchard mwaka 2015

Rowan Blanchard (alizaliwa Oktoba 14, 2001[1][2]) ni mwigizaji na mwanaharakati wa kisiasa wa nchini Marekani. Alijumuishwa kwenye orodha ya jarida la Time magazine kama vijana wenye ushawishi zaidi mwaka 2015.[3]

Alijulikana kwa mara ya kwanza kwa kuigiza kama Rebecca Wilson katika filamu ya Spy Kids mwaka 2011.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Rowan Blanchard: "Riley Matthews". Disney Channel Medianet. Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-08-12. Iliwekwa mnamo 2022-03-03.
  2. 8 Ways Rowan Blanchard Proved She Was Wise Beyond Her Years (October 14, 2018).
  3. Lee, Nhi (December 8, 2015). Cory and Topanga's daughter is one of TIME's "30 Most Influential Teens" (en). Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-04-26. Iliwekwa mnamo 2022-03-03.
  4. You Got Zuko'd. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-10-16. Iliwekwa mnamo 2022-03-03.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rowan Blanchard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.